Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hii ndiyo miji yenye mabilionea wengi zaidi Duniani

Elon Musk Vs Mark Hii ndiyo miji yenye mabilionea wengi zaidi Duniani

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bilionea ni mtu ambaye utajiri wake unaanzia Dola za Kimarekani bilioni moja (1B USD), kwa mujibu wa tovuti ya "Stastista" mpaka kufikia mwaka 2022 ulimwenguni inakadiriwa kulikuwa na zaidi ya mabilionea 3000.

Ifuatayo ni miji inayoongoza kwa kuwa na mabilionea wengi zaidi;

New York - Marekani: 101 Hong Kong - China: 70 Beijing - China: 68 Shanghai - China: 65 London - Uingereza: 63 Moscow - Urusi: 61 Mumbai - India: 56 Shenzhen - China: 54 Singapore - Singapore: 46 Delhi - India: 37 San Francisco - Marekani: 37

Source: Forbes, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live