Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hii ndio siri ya msitu wenye umbo la Gitaa

Guitar Shape Hii ndio siri ya msitu wenye umbo la Gitaa

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkulima mmoja kutoka nchini Argentina, Pedro Martin aliamua kumuenzi marehemu mkewe aliyefahamika kwa jina la Graciela kwa kutengeneza umbo la Gitaa kwa kutumia miti ili mkewe aweze kuliona kutoka mbinguni.

Kwakuwa mke wa Pedro alikuwa ni mpenzi wa Gitaa yeye pamoja na watoto wake wanne walianza zoezi la kupanda miti tofauti tofauti ikiwemo Mikaratusi na Misonobari zaidi ya 7,000 ambayo ilichukua eneo la maili 2/3.

Msitu huo wa Kihistoria upo ‘Pampas’ nchini #Argentina na ili uweze kufanikiwa kuona umbo la #Gitaa hilo ni lazima upande Ndege au urushe ‘kamera’ ya drones.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live