Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio sababu ya mtoto wa Arnold kugoma kutumia jina la Baba yake

Arnold With Baena Hii ndio sababu ya mtoto wa Arnold kugoma kutumia jina la Baba yake

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa nje wa Arnold Schwarzenegger, Joseph Baena anasema licha ya kufuata nyayo za baba yake katika tasnia ya uigizaji na utunishaji wa misuli, lakini hataki kutumia jina la mwisho la dingi yake nyota wa Terminator.

Kwenye mahojiano ya hivi karibuni Joseph alinukuliwa akisema ”Ninajaribu kufanya mambo yangu kivyangu”

Joseph anatumia jina la ukoo wa mama yake..aitwae Mildred Baena, huku akijitengenezea njia yake mwenyewe huko Hollywood.

"Nadhani jambo kubwa hapa ni kwamba ninajaribu kufanya mambo yangu kivyangu...ni muhimu sana kama mwanamume kufanya mambo peke yako"

Mildred Patricia Baena mama yake Joseph alikuwa mfanyakazi wa ndani wa Arnold Schwarzenegger kabla wawili hao hawajaingia kwenye mahusiano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live