Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hii ndio gari aina ya fiat ni balaa,ina gia 9 ina beba mzigo mkubwa (+video)

FIAT COVER 660x400 Gari aina ya FIAT

Thu, 10 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Gari aina ya Fiat ni miongoni mwa gari za zamani ambazo zina nguvu sana kutokana na uwezo wake wakubeba mzigo mkubwa,dereva anayeendesha gari hiyo anayefahamika kwa jina la Juma  amesema ina gia tisa  lakini ina uwezo mkubwa wakubeba vitu vizito.

Gari aina ya Fiat ni miongoni mwa gari za zamani ambazo zina nguvu sana kutokana na uwezo wake wakubeba mzigo mkubwa,dereva anayeendesha gari hiyo anayefahamika kwa jina la Juma  amesema ina gia tisa  lakini ina uwezo mkubwa wakubeba vitu vizito. “Wengi wanakataa kupanda wanaogopa lakini huku yunakoelekea porini hamna gari nyingine lazima wapande,hii imetengenezwa kwa mfumo wa Low Scania kwa mfumo wa high na hii ina speed 100 tu kazi yeyote inafanya unaitengenezea body”-Dereva

Chanzo: millardayo.com