Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hii ndio Kahawa ghali zaidi Duniani, kikombe Tsh. 854,390

Kahawa Ghali Zaidi Hii ndio Kahawa ghali zaidi Duniani, kikombe Tsh. 854,390

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kahawa ya Topica kutoka nchini Japan, ndiyo inayouzwa bei ghali zaidi nchini Uingereza kwenye mgahawa wa 'SHOT'.

Kahawa ya Topica kutoka nchini Japan, ndiyo inayouzwa bei ghali zaidi nchini Uingereza kwenye mgahawa wa 'SHOT'. Wapenzi wa kahawa wanaweza kujipatia kikombe kimoja cha kahawa hiyo kutoka mji wa Okinawa kwa gharama ya Pauni 265 sawa na shilingi 854,390.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live