Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii kali! Wanaotumia passwords za watu Netflix kupewa kibano

Gsmarena 001 Hii kali! Wanaotumia passwords za watu Netflix kupewa kibano

Wed, 20 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Netflix inafanya majaribio ya kutoza pesa kwa kila ongezeko moja la Watumiaji wanaoingia kwenye mtandao huo kwa kutumia passwords za Watu wengine badala ya kufungua account zao wenyewe, hii inamaanisha jaribio hili likifanikiwa basi Kampuni hii itajiongezea pato lake maradufu tofauti na ilivyo sasa.

Wateja waliopo kwenye Nchi tano za Latin America ambazo ni Argentina, El Salvador, Guatemala, Honduras na Jamhuri ya Dominika wataombwa kulipa ada ya ziada iwapo watatumia akaunti kwa zaidi ya wiki mbili nje ya makazi yao ya msingi, kampuni hiyo ilisema Jumatatu.

Ugawaji wa neno la siri (password sharing) umekuwa wa kiwango cha juu sana kwa upande wa Amerika ya Kusini na ndio maana sas Netflix inafanya majaribio yake mawili ya kwanza ili kuona ikiwa Watu watalipia

Chanzo: www.tanzaniaweb.live