Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii kali! Msanii afunga ndoa na wanawake 30

Hii Kali! Msanii Afunga Ndoa Na Wanawake 30 Hii kali! Msanii afunga ndoa na wanawake 30

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Harrysong, amekuwa gumzo nchini humo baada ya kuvunja rekodi ya historia ya kuoa wanawake 30 ndani ya siku moja.

Harry amevunja rekodi hiyo ambayo mwanzoni ilikuwa ikishikiliwa na gwiji FelaAnikulapo ambaye alioa wanawake 27 kwa siku moja nchini humo.

Nyota huyo wa Afrobeat ameonekana katika picha inayoonesha akiwa na idadi ya wanawake hao wakiwa wamevalia mavazi ya kitamaduni ambayo ni ishara ya kuwa wanawake hao ni maharusi wapya.

Msanii huyo aliwahi kuwa Msanii Bora wa Pop/R&B wa mwaka katika tuzo za Nigeria za 2014 baada ya kutolewa kwa wimbo wake ulioongoza chati ‘Beta Pikin.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live