Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii hapa orodha kamili ya wanaowania tuzo za BMA

Hii Hapa Orodha Kamili Ya Wanaowania Tuzo Za BMA Hii hapa orodha kamili ya wanaowania tuzo za BMA

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tuzo za Billboard Music Awards 2023 wametangaza majina ya Mastaa watakao wania Tuzo hizo mwaka huu 2023 ambapo Msanii Tylor Swift ameongoza kwa kuwania katika vipengele vingi zaidi (Vipengele 20) huku akifuatiwa na SZA na MorganWallen, ambao kila mmoja yupo kwenye vipengele 17.

Kwa upande wa Afrika Mastaa kutoka Nchini Nigeria wametawala katika Tuzo hizo huku baadhi yao wakiwa wakiwa katika kipengele kipya cha #TopAfobeatsArtists na #TopAfrobeatsSong, #BurnaBoy #Wizkid #Rema , #Tems #Ayrastarr #Oxlade #Victony N.k. . Hii hapa List....

Top Afrobeats Artist (NEW)

Burna Boy Libianca Rema Tems Wizkid

Top Afrobeats Song (NEW)

Ayra Starr “Rush” Libianca “People” Oxlade “KU LO SA” Rema & Selena Gomez “Calm Down” Victony, Rema, & Tempoe ft. Don Toliver “Soweto”

Top Collaboration

David Guetta & Bebe Rexha “I’m Good (Blue)” Metro Boomin, The Weeknd & 21 Savage “Creepin’” Rema & Selena Gomez “Calm Down” Sam Smith & Kim Petras “Unholy” The Weeknd & Ariana Grande “Die For You”

Top Selling Song

Jason Aldean “Try That in a Small Town” Jimin ‘Like Crazy” Miley Cyrus “Flowers” Oliver Anthony Music “Rich Men North of Richmond” Taylor Swift “Anti-Hero”

Top Billboard Global 200 Song

Miley Cyrus “Flowers” Rema & Selena Gomez “Calm Down” SZA “Kill Bill” Taylor Swift “Anti-Hero” The Weeknd & Ariana Grande “Die For You”

Top R&B Song

Metro Boomin, The Weeknd & 21 Savage “Creepin’” Miguel “Sure Thing” The Weeknd & Ariana Grande “Die For You” SZA “Kill Bill” SZA “Snooze”

Top Dance/Electronic Album

Beyoncé “RENAISSANCE” Drake “Honestly, Nevermind” ILLENIUM “ILLENIUM” Kim Petras “Feed The Beast” Tiësto “DRIVE”

Top Country Album

Luke Combs “Gettin’ Old” Luke Combs “Growin’ Up” Morgan Wallen “One Thing At A Time” Taylor Swift “Speak Now (Taylor’s Version)” Zach Bryan “American Heartbreak”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live