Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio washindi wa Tuzo za Orange

TUZO WANAWAKE.jpeg Hawa ndio washindi wa Tuzo za Orange

Thu, 9 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa jana ilikuwa siku ya Wananwake duniani, kwenye upande wa Burudani zilifanyika tuzo kwa ajili ya wanawake wanaohudumu katika sekta ya burudani.

Washindi mbalimbali walipatikana na washindi walikuwa kama ifuatavyo.

Best Female News Paper Journalist of the Year

-Mshindi ni Dr. Tumaini Msomowa

Best Female Radio Personality of the Year

– Mshindi ni @meena_ally

Best Female Tv Personalty of the Year

– Mshindi ni @bhokeegina

Best Female Digital Media Personality of the Year

-Mshindi ni @imeldamtema

Best Female Hiphop Artist of the Year

-Mshindi ni @rosa_ree

Best Female Actress of the Years

-Mshindi ni @mimimars

Best Female Comedian of the Year

-Mshindi ni @gladness_kifaluka

Best Female Dj of the year

-Mshindi ni @djmamieofficial

Best Female Football Player of the Year

-Mshindi ni @opah_clement

Best Female Bongo Fleva Artist of the Year

-Mshindi ni @officialnandy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live