Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa ndio wababe wa Albamu Bongo

Jay Dee X Sugu Hawa ndio wababe wa Albamu Bongo

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kunako Bongo Fleva, wakongwe @therealjongwe (Sugu) na @jidejaydee ndio wasanii waliofanikiwa kutoa albamu nyingi zaidi ikiwa ni zaidi ya miaka 20 tangu wameingia rasmi kwenye sanaa.

Sugu aliyetoka rasmi kimuziki mwaka 1993, anaongoza kwa kuwa na albam 10, ambapo albam yake ya kwanza (Ni Mimi) ilitoka mwaka 1995.

Anayefuatia ni Lady Jay dee mwenye jumla ya albam 9, ambapo ya kwanza ilikwenda kwa jina la (Machozi) na ilitoka mwaka 2001.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live