Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hawa ndio Vijana waliopiga picha iliyotrend mtandaoni

Video Archive
Fri, 12 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutana na vijana waliopiga picha iliyotrend mtandaoni kutokana na ubunifu waliotumia, mpiga picha anaitwa Bernad na mwanamitindo anaitwa Jasinta Makwabe. AyoTV imepiga nao story wameeleza ubunifu wanaotumia kupiga picha zao ambazo zimekuwa zikiwapa madili.

Kutana na vijana waliopiga picha iliyotrend mtandaoni kutokana na ubunifu waliotumia, mpiga picha anaitwa Bernad na mwanamitindo anaitwa Jasinta Makwabe. AyoTV imepiga nao story wameeleza ubunifu wanaotumia kupiga picha zao ambazo zimekuwa zikiwapa madili. Pia wamefunguka ugumu waliopitia kuzitayarisha picha hizo… Bonyeza PLAY kupata taarifa kamili

Chanzo: millardayo.com