Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatuwezi kuhama nyumbani sababu ya mama - Abdu Kiba

Abdu Kiba Alikiba Hatuwezi kuhama nyumbani sababu ya mama - Abdu Kiba

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Member wa Kings Music Records Abdukiba amefunguka hawezi kuhama nyumbani kwao kwa sababu ya Mama yao ambaye hayupo tayari kuwaona wakiwa wanaishi tofauti tofauti pia anapenda awaone kila wakati.

Abdukiba amejibu hilo ndani ya PlanetBongo ya East Africa Radio baada ya kuulizwa kwanini bado anaishi nyumbani kwao mpaka leo.

"Nipo nyumbani kwetu hata ukisema kwangu ukisema kwa kaka ni sawa tu. Mama yetu anapenda atuone tukiwa karibu naye, anafurahi kutuona tunagombana, tunaongea hivyo ndivyo anavypenda mama yetu. Ni mtu ambaye anatamani watoto wake wote awaone kila wakati.

"Sio kwamba mimi sina kwangu, nina kwangu lakini tumeamua kuendelea kuishi nyumbani kwa sababu ya mama yetu," alisema Abdu Kiba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live