Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Tunda amuomba msamaha Aunt Ezekiel

4559 Tunda 12121212 TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Video vixen Bongo, Tunda amemuomba msamaha Aunt Ezekiel kufuata ugomvi wao uliotokea siku za nyuma.



Wawili hao waliingia katika ugomvi mkubwa na kufikia hatua ya kutupia maneno makali katika mitandao ya kijamii. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;



Chanzo cha ugomvi wao kilielezwa ni baada ya Tunda kwenda katika duka la Aunt na Iyobo na kuchukua pombe bila kulipwa, video vixen huyo alipokuja kuulizwa na Aunt kupitia mtandao ndipo ugomvi ukaanza hadi kufikia hatua ya kumtukana mtoto wa Aunt Ezekiel na Iyobo.

Chanzo: bongo5.com