Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Paula amtambua Harmonize

Paula Harmonize Hatimaye Paula amtambua Harmonize

Mon, 12 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimae mtoto wa supastaa wa Bongo Movies, Kajala Masanja aitwaje Paula Kajala kwa mara ya kwanza amemtambua, Harmonize kama baba yake hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram (Insta Story yake).

Itakumbukwa kuwa wawili hawa wamewahi kuwa katika tofauti kubwa kiasi cha Paula kutomtambua Harmonize kama baba yake wa kufikia.

Paula amemtaja Harmonize kama baba yake akishare kionjo cha wimbo mpya wa Harmonize huku chanzo kikitajwa kuwa anataka kumuumiza mpenzi wake wa awali, Rayvanny ambaye anadaiwa kuwa amerudiana na mzazi mwenzake Fahyma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live