Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Manara afunga ndoa na Zaiylissa

Manara Ndoa Hatimaye Manara afunga ndoa na Zaiylissa

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kudai kuwa ndoa yake na mpenzi wake Zaiylissa, itakuwa ya siri na watu kushindwa kujua itakuwa lini, hatimaye Haji Manara amefunga ndoa na muigizaji huyo siku ya leo Jumatato, Januari 24, 2024.

Baada ya kudai kuwa ndoa yake na mpenzi wake Zaiylissa, itakuwa ya siri na watu kushindwa kujua itakuwa lini, hatimaye Haji Manara amefunga ndoa na muigizaji huyo siku ya leo Jumatato, Januari 24, 2024. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Manara ame-share picha hiyo aikiambatana na ujumbe usemao “Allhamdullillah sasa ni rasmi tutambulike Mr and Mrs Haji Manara”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live