Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Happiness Magese aweka wazi sura ya mwanae

4849 Ggggggf TZW

Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Kwa mara ya kwanza Miss Tanzania mwaka 2001, Happiness Millen Magese ameonyesha sura ya mtoto wake kwa kutokea kwenye magazine ya nchini Nigeria.



Mrembo huyo ambaye alikuwa anasumbuliwa na tataizo la Endometriosis alijifungua mtoto wake wa kwanza July 13, 2018 lakini hakuonekana hadi leo alipoweka wazi hilo.

Sura ya mtoto huyo aitwaye Prince Kairo ameonekana katika cover la magazine ya Genevieve kutoka Nigeria, Magazine hiyo inatarajiwa kutoka March 16 mwaka huu.

Chanzo: bongo5.com