Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harusi ya Wolper, Rich yanukia

Wolper NA BABY Harusi ya Wolper, Rich yanukia

Mon, 8 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jacqueline Wolper; ni staa wa Bongo Movies ambaye yeye mchumba’ke, Rich Mitindo wanatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu; yaani mwezi wa kumi na moja hivyo bufee la harusi yao linanukia.

Hata hivyo, taarifa zinasema kuwa, tayari Wolper ana mtoto wa pili ambaye amejifungua katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar, ingawa amefanya siri kubwa ili afanye surprise ya nguvu siku hiyo ya harusi yao.

Tayari group la michango ya harusi limeshafunguliwa kwenye WhatsApp na maandalizi kabamba yanaendelea.

Pamoja na Wolper kudai anampenda mno mpenzi wake, lakini anasema siku akimfumania na mwanamke mwingine na penzi lao litaishia hapohapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live