Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harusi ya Shilole: Diamond amtaka Shilole achague zawadi, Shishi achagua hii (Video)

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Rais wa WCB, Diamond Platnumz alitoa kali ya mwaka katika sherehe ya harusi ya Shilole na Uchebe baada ya kumtaka bibi harusi huyo kuchagua zawadi ambayo anaitaka kutoka kwake. Baada ya Diamond kusema hivyo, Shishi alimuomba muimbaji huyo kujitolea kumtangazia biashara yake mpya ya Shishi Chili, ambapo Diamond alikubali ombi hilo.

Chanzo: bongo5.com