Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonzie ataka kudate na askari 'Wasanii nimechoka'

Harmonize Hits Harmonzie.

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva Harmonize ataka kudate na askari polisi mpole, adai kwa sasa amekua na haitaji tena drama za wasanii kama ilivyokuwa hapo nyuma.

Bosi huyo wa lebo ya Konde Ganga ameongeza kuwa atakayekubali ombi lake watajenga Taifa kwa pamoja.

Harmonize ameyasema hayo katika Event iliyofanyika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ilikuwa ya ufunguzi wa mkutano wa nne wa mafunzo ya Jumuiya ya Askari wa Kike wa Polisi Duniani Kanda ya Afrika 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live