Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize noma, atupa Mil. 353 kwenye video

HARMONIZE TATTOO YA KAJALA Harmonize noma, atupa Mil. 353 kwenye video

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Rajabu Abdul 'Harmonize' ambaye kwa sasa yupo huko Miami, Florida kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki.

Akiwa huko, mwamba anaandaa video zake mbili mpya kama alivyotangaza kuwa atashoot video mbili katika mji huo.

Sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory), ametufahamisha kuwa ni mara yake ya kwanza kuwekeza mkwanja mrefu kwenye Music video yaani amewekaza zaidi ya Tsh.Milioni 353. (USD 150k).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live