Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize noma, amsindikiza Poshy hadi 'toilet'

Harmonizeeee (1) Harmonize noma, amsindikiza Poshy hadi 'toilet'

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Umeshawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mzuri mpaka ukapoteza kujiamini kama kweli unammiliki kiasi cha kundikiza mpaka msalani? . Ndio hii kwa Kondw Boy @harmonize_tz, kupitia Instastory yake ameweka video akimsindikiza msalani mpenzi wake @poshyqueeen huku akiambatanisha na maneno haya "Sijawahi kuona mwanamke mzuri kama wewe duniani. Swala la kusindikizana msalani ni la kawaida, simuamini, sijiamini"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live