Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize na warembo, mmmh!

Penzi Jipya Limemkolea Harmonize Harmonize

Wed, 14 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Upepo wa @harmonize_tz na mabinti sio wa kawaida hata kidogo, kama unakumbuka vizuri mwaka jana kwenye ziara yake ya Marekani alijiokotea mpenzi wake Brianna ambaye ni raia wa Australia.

Harmonize alikutana na Briana Marekani ni raia wa Australia kimsingi Konde Boy aliipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kwa wa-Australia maana walikua ni mashemeji zetu.

Ukiachana na upepo wa mwaka jana wa Konde Boy na Briana kutoka Australia leo hii Harmonize yupo kwenye ziara yake nyingine ya kimuziki hukohuko Australia.

Kwenye show zake mbili za mwanzo Australia zote katisha sana alianza na “Adelaide” Sidney halafu Jana kapiga zake sehemu inaitwa “Perth” sehemu zote Mbili kulikua na shangwe za kutosha

Swali ni je upepo wa Harmonize na Australia utamrudisha tena shemeji yetu Briana kama alivorudishwa shemeji yetu Kajala kipindi kile cha Kajala One & Two?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live