Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize na mpenzi wake Sarah waungana na watoto yatima Mtwara kwenye chakula cha mchana Dec 28.

Fri, 29 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Staa kutoka WCB Harmonize mchana wa December 28 ametembelea Kituo cha Watoto yatima cha EAGT kilichopo Mtwara Mjini kwa ajili ya chakula cha mchana ikiwa pamoja na kukabidhi misaada kituoni hapo.

Harmonize kwenye safari yake hiyo ameongozana  na mpenzi wake wa sasa Sarah, ambapo kabla ya kukabidhi misaada yao walianza kwa kuhudumia chakula kwa kila mtoto aliyefika, Usiku wa Dec 31 Harmonize anatarajia kufanya show yake kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona ambayo amepanga kumtambulisha rasmi mpenzi wake Sarah..

Staa wa Bongofleva @harmonize_tz akigawa chakula kwa watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Kanisa la EAGT Rahaleo, Mtwara kama sehemu ya shukrani zake kwa jamii kwa mwaka 2017. #MillardAyoUPDATES. pic.twitter.com/tg3rNDNscp

— AyoTV (@AyoTV) December 28, 2017

Uliiona hii ya Wolper alivyofunguka kuachana na Harmonize?

Chanzo: millardayo.com