Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize na Rayvanny kufanya kolabo mbili kwa mpigo

Harmo Rayvanny Sd Harmonize na Rayvanny kufanya kolabo mbili kwa mpigo

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii na C.E.O wa Nextlevel music Rayvanny amefika nyumbani kwa Harmonize usiku huu kuifata tuzo yake aliyoshinda Marekani kwenye Tuzo za AEAUSA, pia alipata nafasi yakufanya Maojiano (Interview) na waandishi wa habari nakufunguka mambo kibao.

Hii ni tuzo aliyoshinda Rayvanny katika kipengele cha best Collaboration kupitia video yake ya Mama Tetema aliyoimba na Maluma.

Rayvanny na Harmonize wamethibitisha kuwa soon wataachia kolabo yao; "Mamaaaaa, ayaaah... (walijibu kwa pamoja), hiyo kolabo ipo tena mbili."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live