Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize na Poshy Queen wafutana Instagram

Harmonizeeee (1) Harmonize na Poshy Queen wafutana Instagram

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya msanii Harmonize na mpenzi wake Poshy Queen kuonekana wakipata dinner pamoja usiku wa kuamkia leo katika siku ya Wapendanao, wawili hao wamezua sintofahamu kupitia kurasa zao za Instagram baada ya kila mmoja kufuta picha walizokuwa wamepostiana.

Baada ya msanii Harmonize na mpenzi wake Poshy Queen kuonekana wakipata dinner pamoja usiku wa kuamkia leo katika siku ya Wapendanao, wawili hao wamezua sintofahamu kupitia kurasa zao za Instagram baada ya kila mmoja kufuta picha walizokuwa wamepostiana. Si hayo tuu pia wawili hao kila mmoja amefuta urafiki (unfollow) na mwenzake kwenye mtandao huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live