Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize n DJ Seven kuna nini?

Harmonize DJ Seven(2) Harmonize n DJ Seven kuna nini?

Mon, 1 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa ya kutoka kwa #DjSeven ambaye ni Dj wa Harmonize amewaacha na maswali maashabiki zake pamoja na baada ya kufuta utambulisho wake wa (Official Dj wa Harmonize) aliouweka kwenye profile yake ya Instagram.

Bado haijafahamika chanzo nini kinachoendelea baina yao lakini taarifa kutoka kwa watu wakaribu wanasema wawili hao hawana naelewano nazuri.

DJ Seven ameandika jumbe mbalimbali kwenye page yake ya Instagram na baadhi ya ujumbe hizo zinasema;

"#WatuFeki, #MarafikiWasaliti. Marafiki wanafiki ushauri mwingi kumbe anamtaka mkeo."

Unadhani ujumbe huu uunamlenga nani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live