Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize machia rasmi album ya Muziki wa Samia

Samia Harmonize 95123 Harmonize machia rasmi album ya Muziki wa Samia

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa bongo fleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’, ameachia rasmi albamu yake ya tano ijulikanayo kama Muziki wa Samia. - Msanii huyo amechapisha kupitia mitandao yake ya kijamii Juni 3,2024 na kusema albamu hiyo itakuwa na nyimbo 10. - Amezitaja kuwa ni Tanzania, ⁠Samia Tena, Tunatamba Nae, ⁠Anatekeleza, ⁠Mama Anajenga, ⁠Mama Teacher, ⁠Kazi Iendelee, ⁠Tuvushe, ⁠Na Nusu na ⁠Wanajisumbua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live