Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kuwaumbua wanaonunua views

HARMONIZE TATTOO YA KAJALA Harmonize kuwaumbua wanaonunua views

Mon, 28 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Hit Maker wa Ngoma ya #SingleAgain ambayo kwa sasa kupitia YouTube inefikisha watazamaji milioni 20 amefunguka kuwa watazamaji hao sio wa kununua.

Harmonizr amesema kuwa anazijua video zilizotumia maroboti kupata watazamaji wengi na huenda akawaumbua wanaofanya hivyo siku akianza kutumia pombe tena.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live