Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kusaini wasanii wawili

IMG 6272 Harmonize.jpeg Harmonize

Sat, 24 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Boss wa lebo ya Konde Gang, #Harmonize ametangaza kusaini wasanii wapya wawili mwaka huu 2024 kwenye lebo hiyo na kuongeza kuwa isingekuwa ushauri wa msanii wake Ibraah basi angekata tamaa kusapoti wasanii wengine.

Boss wa lebo ya Konde Gang, #Harmonize ametangaza kusaini wasanii wapya wawili mwaka huu 2024 kwenye lebo hiyo na kuongeza kuwa isingekuwa ushauri wa msanii wake Ibraah basi angekata tamaa kusapoti wasanii wengine. KondeGang hivi sasa imebaki na msanii mmoja pekee ambaye ni Ibraah baada ya wasanii wengine akiwemo Country Wizzy, Killy, Cheed na Anjella kuondoka katika nyakati tofauti. SWIPE kusoma zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live