Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kumchumbia Phiona

Harmonize Phiona Harmonize kumchumbia Phiona

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa zinaeleza kuwa Harmonize anatarajia kwenda nchini Rwanda kwa ajili ya kumchumbia mpenzi wake, Phiona.

Akizungumza kwenye uzinduzi wa reality show ya Kajala na Pauka iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Mei 11, 2023, MC Gara B alianza kwa kueleza kuwa alikuwa surprise kuonekana kwenye show hiyo lakini pia amefurahi kwani Harmonize hana tatizo naye.

"Nimeonekana kwenye hii reality show siku ya engagement ya Kajala, lakini uzuri ni kwamba nilikuwepo kwenye maisha ya Kajala na Harmonize lakini hata walipoachana abado nipo.

"Hivi tunavyoongea, Harmonize ameniambia nijiandae kwenda Kigali kwenye shughuli ya mchumba wake," alisema Gara B.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live