Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kukiwasha Mwananchi Day

Harmonize Msz Harmonize kukiwasha Mwananchi Day

Thu, 1 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji staa wa Bongofleva Harmonize ametambulisha wimbo wake mpya wa hamasa aliouimba maalum kwa ajili ya Yanga ambao atautumbuiza siku ya Yanga Day Jumapili ya weekend hii.

Mwimbaji staa wa Bongofleva Harmonize ametambulisha wimbo wake mpya wa hamasa aliouimba maalum kwa ajili ya Yanga ambao atautumbuiza siku ya Yanga Day Jumapili ya weekend hii. “Ifike wakati Msanii ukipata nafasi ya kuperfom kwenye jukwaa kama hili kwangu ni kitu kikubwa ni zaidi ya super bowl kwahiyo ni mara ya pili kuperfom na nimejiandaa sitaki niongee sana safari hii nataka nioneshe vitendo zaidi, kwangu hii ni Yanga Day bora,” amesema Harmonize.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live