Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kuja na Albamu ya Samia

Harmonize X Samia Harmonize kuja na Albamu ya Samia

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii na CEO wa lebo ya Konde Gang, Harmonize ametangaza kuja na albam yake ya 5 atakayoipa jina la 'Tamba Na Samia' aliyopanga kuyaimba mazuri yote yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Msanii na CEO wa lebo ya Konde Gang, Harmonize ametangaza kuja na albam yake ya 5 atakayoipa jina la 'Tamba Na Samia' aliyopanga kuyaimba mazuri yote yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan "Sitojibu chochote cha uongo, sanasana kwenye muda huu nilioutenga kwa ajili ya My Baby na kuupeleka mziki wa Tanzania mbali zaidi. Ila pia albamu yangu ya 5 (Tamba Na Samia) imefikia 90%. Nina kazi ya kulielezea hili Taifa mazuri mangapi yamefanywa na Dr.Samia Suluhu Hassan sitaki kusikia kelele"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live