Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kufungua mwaka 2018 mwezi Machi

3682 22581915 1445409652246315 643924105724166144 N 1 TZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Je unatamani kusikia ngoma mpya kutoka kwa Harmonize? Ni miezi minne imepita tangu msanii huyo wa WCB alipoachia wimbo wake wa mwisho, Nishachoka.



Haujazoea kuona kimya kingi kama hicho kutoka ka wasanii wa WCB – Weka tayari macho yako na masikio kusikia ngoma mpya kutoka kwa msanii huyo ambayo itatoka Machi 1 ya mwaka huu.

Harmonize amethibitisha hilo kutokana na ujumbe ambao ameuandika kwenye mtandao wa Instagram, pia kunauwezekano wimbo huo ukapewa jina la Kwangwaru kutokana nio hashtag ambayo ameitumia.



“HAKIKISHA UME #SUBSCRIBE YOU TUBE CHANEEL YANGU UWE WAKWANZA KWAKILA JAMBO LIJALO

Chanzo: bongo5.com