Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kuandamana kutoka Air Port hadi nyumbani kwake

Harmonize Tz 1690451880406.jpeg Harmonize kuandamana kutoka Air Port hadi nyumbani kwake

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul 'Harmonize' amesema kutokana na heshima aliyopewa ya kushinda tuzo tatu, ataandamana kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake Gonde Gang Village.

Staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul 'Harmonize' amesema kutokana na heshima aliyopewa ya kushinda tuzo tatu, ataandamana kutoka uwanja wa ndege hadi nyumbani kwake Gonde Gang Village. Harmonize ameshinda tuzo za AEUSA zilizotolewa nchini Marekani hivyo kutangaza kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa atakaporejea, furaha zitaanzia Airport hadi nyumbani kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live