Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize hatumii pombe - Choppa

Harmonize Choppa Harmonize na Choppa.

Fri, 18 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa supastaa wa Bongo Fleva, Harmonize aitwaye Chppa amedai kuwa msanii huyo hatumii kilevi cha aina yoyote kama ambavyo watu wamekuwa wakimdhania Mmakonde huyo.

Choppa amesema hayo wakati akihojiwa na chombo kimoja cha habari nchini Tanzania kisha kuulizwa swali kuhusu maisha ya Harmonize kama anatumia kilevi au la.

“Huwezi amini Harmonize hanywi tungi na muda mrefu sana ame dedicate muda wake kwenye kazi,“ amesema Choppa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live