Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize baada ya kuachana na Sarah azama kwenye penzi jipya?

KAJALA 660x400 Harmonize baada ya kuachana na Sarah azama kwenye penzi jipya?

Tue, 26 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwimbaji kutokea Bongo Flevani  Harmonize ameeleza ya moyoni kwake kuhusu mrembo aliyempenda licha ya kushindwa kutaja jina la mwanamke huyo, Harmonize ameeleza sifa za mwanamke huyo anayehisiwa kuwa ni Mwigizaji Kajala kutokana na uwepo wa tetesi za kuwa wawili hao wanatoka kimapenzi.

Mwimbaji kutokea Bongo Flevani  Harmonize ameeleza ya moyoni kwake kuhusu mrembo aliyempenda licha ya kushindwa kutaja jina la mwanamke huyo, Harmonize ameeleza sifa za mwanamke huyo anayehisiwa kuwa ni Mwigizaji Kajala kutokana na uwepo wa tetesi za kuwa wawili hao wanatoka kimapenzi. Lakini siku kadhaa zilizopita Ayo TV & millardayo.com iliwahi kumuhoji Lamata ambae ni mtu wa karibu wa Kajala na akasema wawili hao si wapenzi tofauti na taarifa zinavyoenea mitandaoni.

Chanzo: millardayo.com