Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize azidi kujiwekea rekodi na Single Again

Harmonize Afunguka Wasanii Kupewa Magari Kwenye Lebo Harmonize azidi kujiwekea rekodi na Single Again

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huenda Single Again ndio ikawa ngoma pekee kutoka Tanzania ambayo imefanywa kwa kurudiwa sana kupitia collabo tofauti tofauti.

Baada ya kuachia ngoma ua Single Again Original yake lakini pia aliifanyia Remix na Ruger kutoka Nigeria lakini pia tumeona Remix nyingine akiwa na msanii kutoka Afrika Kusini Nkosazana Daughter.

Kwenye Album ya Visit Bongo ngoma hii imewekwa mara mbili.

Huenda ndio wimbo pekee wa Harmonize uliomuingizia pesa zaidi, inawezekana tusiishie hapa siku zijazo tunaweza kuona Remix nyingine ya Single Again.

Kwa Single Again ndio wimbo pekee wa Harmonize uliofanya vizuri zaidi kwenye career ya muziki wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live