Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize aweka wazi jina la album ya 3

Untitled 2 Harmonize aweka wazi jina la album ya 3

Wed, 15 Sep 2021 Chanzo: eatv.tv

Harmonize hachoki kupika kazi mpya kila siku, wakati akiendelea na tour yake Marekani ameingia studio kupika albamu mpya na mtayarishaji wa muziki Mr Simon kutoka nchini Norway.

Kupitia insta story yake ame-share video akiwa studio na mtayarishaji huyo huku akisikika akisema kuwa albamu ijayo  ambayo itakuwa ni ya tatu itaitwa “Arizona” kwasababu ameipika akiwa katika jimbo hilo linalopatikana katika mji mkuu wa Phoenix.

Taarifa zinasema albamu yake ya pili “High School” tayari imekamilika na kinachosubiriwa ni kuachiwa tu.  

Chanzo: eatv.tv