Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize aweka bango "Single again"

Harmonize One Twooo Harmonize Single again

Wed, 8 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuandika Instagram pekee kuwa yupo single haijatosha kwa supastaa wa Bongo Fleva, Harmonize ameendeleza tena utaratibu wake wa kuwa kwenye mabango.

Boss huyo wa Konde Gang mara hii ajiweka picha yake mwenyewe inayoonesha akiwa maeneo ya beach ikiwa na ujumbe usemao "Single Again"

Harmonize amejiweka kwenye bango hilo maeneo ya Kinondoni jijini Dar ilipowahi kuwekwa bango lake akiwa na Kajala lililokuwa limeandikwa "Lovers" na kwa wakati huo alikuwa akiomba msamaha kurejesha penzi lake kwa bibie huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live