Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize atangaza kuachia albam yake

Harmonize Tz 1690451880406.jpeg Harmonize atangaza kuachia albam yake

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Harmonize ametangaza tarehe ya kuachia Album yake mpya ni tarehe 25 mwezi huu kwenye ukumbi wa Mlimani City huku akisindikiza na kusisitiza jinsi alivyo na hamu ya kuachia album hiyo kwasababu maandalizi yake yalikuwa ya kitofauti sana.

Staa wa Bongo Fleva, Harmonize ametangaza tarehe ya kuachia Album yake mpya ni tarehe 25 mwezi huu kwenye ukumbi wa Mlimani City huku akisindikiza na kusisitiza jinsi alivyo na hamu ya kuachia album hiyo kwasababu maandalizi yake yalikuwa ya kitofauti sana. Hadi sasa #Harmonize ana Album 3 AfroEast, High School na Made For us, hii inayokuja unatamani iwaje?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live