Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize atangaza balaa jipya, kuachia albamu mbili kwa mpigo

Harmonize Afunguka Wasanii Kupewa Magari Kwenye Lebo Harmonize atangaza balaa jipya, kuachia albamu mbili kwa mpigo

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia Instastory yake Harmonize ametangaza kuachia Album mbili ndani ya siku moja kabla ya mwaka 2023 kukatika.

Kupitia Instastory yake Harmonize ametangaza kuachia Album mbili ndani ya siku moja kabla ya mwaka 2023 kukatika. Sambamba na hilo Harmonize amefunguka kuwa ataachana na kutoa Album kwakuwa kwenye upande huo hakuna ushindani mkubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live