Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize atamba: Diamond, Kiba ninawazidi kila kitu

Harmonizeeee (1) Harmonize atamba: Diamond, Kiba ninawazidi kila kitu

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize amesema kuwa kwa sasa anawazidi wapinzani wake kila kitu.

Harmonize ambaye kwa sasa aanatamba na mpenzi wake mpya, Jacqueline Obed maarufu kama Poshy Queen.

Msanii huyo amedai kwamba kwa sasa amewazidi kila kitu wapinzani wake kuanzia kutoa nyimbo hit mpaka kuwa na demu mkali kuliko demu wa Diamondi Platnumz pamoja na Alikiba.

Nini maoni yako kuhusu kauli ya Harmonize?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live