Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize ataka pambano kwa mpunga huu

Harmonize Pambano (600 X 498) Harmonize ataka pambano kwa mpunga huu

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Konde Boy Harmonize yupo tayari kupambana uliongoni na Bondia yeyote ‘Professional’ ambaye ataweza kuweka mezani Dola Laki 1 sawa na Tsh Milioni 255.

“M-Tag bondia wako unayempenda ambaye ameshinda mkanda hata mmoja, namaanisha Professional sitaki kesi”.

“Raundi sita baada ya Ramadhan na 100 USD, Kama unaweza kupigana kweli anza kuchangisha hiyo pesa baada ya Ramadhan naachia Album sitakuwa na muda kabisa” - ameandika #Harmonize

Unahisi Bondia gani ataweza kupambana na Harmonize kwa dau la pesa hiyo?

View this post on Instagram

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live