Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize apima ngoma, aanika kipimo mtandaoni

Harmonize Apima Ngoma, Aanika Kipimo Mtandaoni Harmonize apima ngoma, aanika kipimo mtandaoni

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Konde Boy Rajabu Abdul 'Harmonize' haishiwi matukio, safari hii amekuja na jipya la kuposti kipimo cha ugonjwa wa Ukimwi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameposti katika eneo la Insta Story picha ya kipimo hicho ambacho inaonesha tayari ameshapima lakini hajasema chochote kuhusu majibu ya kipimo hicho.

Hii si mara ya kwanza kwa Harmonize kupima na kuanika majibu kipimo hicho mtandaoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live