Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize aonesha Plate Namba yenye jina la Kajala

Kajala Mk Harmonize na Kajala

Thu, 26 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii na Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Harmonize kupitia insta stori yake ameposti picha ya Number ya Gari (Plate Number) iliyoandikwa Jina la Aliyekuwa Mpenzi wake Kajala na kuonyesha kuwa ameilipia Tsh Million 5.

Msanii na Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Harmonize kupitia insta stori yake ameposti picha ya Number ya Gari (Plate Number) iliyoandikwa Jina la Aliyekuwa Mpenzi wake Kajala na kuonyesha kuwa ameilipia Tsh Million 5. Hata hivyo Harmonize ameeleza kuwa kufanya hivyo sio kiki bali ni juhudi za kumrejesha Mpenzi wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live