Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize amualika Zuchu kwenye event yake

Harmonize Zuchuh(22).jpeg Harmonize amualika Zuchu kwenye event yake

Fri, 24 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Story kubwa ya leo ni suala la Mwanamuziki Harmonize kumualika Mwanamuziki wa WCB Zuchu kwenye uzinduzi wa Album yake aliyoipa jina la Muziki wa Mama Samia.

Story kubwa ya leo ni suala la Mwanamuziki Harmonize kumualika Mwanamuziki wa WCB Zuchu kwenye uzinduzi wa Album yake aliyoipa jina la Muziki wa Mama Samia. Hivi karibuni Harmonize na Zuchu kwenye mitandao ya kijamii walionesha hali ya kutofautiana ila wameamua kuungana kwa pamoja katika uzinduzi wa Album hii ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live