Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize amsindikiza mpenzi wake Poshy Queen kanisani

Harmonize, Poshy Queen Warudisha Picha Zao Instagram Harmonize amsindikiza mpenzi wake Poshy Queen kanisani

Sun, 18 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Harmonize na mpenzi wake #PoshyQueeen leo wameelekea Kanisani kwa ajili ya ibada ya Jumapili licha ya kuwa msanii huyo ni muumini wa dini ya Kislamu.

Kupitia #InstaStor yake Harmonize ame-share video wakiwa kwenye gari yeye na mpenzi wake wakielekea Kanisani huku akieleza kuwa ni mara yake ya kwanza kwenda Kanisani.

Hata hivyo ‘staa’ huyo amesema kuwa anaamini Binadamu wote wanaamini Mungu mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live