Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize ampa nyimbo 5 Director Kenny

HARMONIZE ORODHA Harmonize ampa nyimbo 5 Director Kenny

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni rasmi sasa video ya ngoma ya "Sijalewa" ya CEO wa Konde Gang #Harmonize itatoka Ijumaa ya wiki hii. Harmonize mwenyewe amethibitisha kuwa video hiyo imefanywa na @director_kenny pia amempa video za ngoma zake tano Director huyo kutoka kwenye Albamu yake mpya anayotarajia kuichia "Visit Bongo".

Ni rasmi sasa video ya ngoma ya "Sijalewa" ya CEO wa Konde Gang #Harmonize itatoka Ijumaa ya wiki hii. Harmonize mwenyewe amethibitisha kuwa video hiyo imefanywa na @director_kenny pia amempa video za ngoma zake tano Director huyo kutoka kwenye Albamu yake mpya anayotarajia kuichia "Visit Bongo". "Hakuna mlevi anaekubaligi kalewa, natamani ujue ninavyosubiri kuimba na wewe hili goma viwanjani huko. Jukumu la Video tumepatia Director Kenny, nimempatia video 5 kutoka kwenye #VisitBongo Tunamuamini tunaanza Ijumaa hii". ameandika Harmonzie kupitia page yake ya Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live