Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize ampa Kajala iPhone 14

Harmonize Simu Harmonize ampa Kajala iPhone 14

Tue, 20 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rajabu Abdul ‘Harmonize’ amezidi kumfanyia kufuru mpenzi wake, Kajala Masanja baada ya kumzawadia simu aina ya iPhone 14, moja kati ya simu mpya na kali.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kajala ameposti kupitia (Instastory) kipande cha video kinachoonesha simu hiyo na kusindikiza na ujumbe uliosomeka hivi:

"Hommie Wangu Katisha."

Hii sio mara ya kwanza kwa Harmonize kupasuka kwa Kajala. Alishampa ndinga mbili aina ya Range ambazo amezipa namba; Kajala 1 na Kajala 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live