Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize amchana Video Vixen wa 'Amelowa'

Images   2022 12 29T111903 Harmonize na video vixen huyo

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Konde Boy Harmonize amemchana Video Vixen #Sophie aliyetokea kwenye video yake baada ya Sophie kufanya mahojiano mbalimbali anayoonekana kumzungumzia vibaya @kajalafrida mpaka kuhusishwa kutoka kimapenzi na @harmonize_tz.

Konde Boy Harmonize amemchana Video Vixen #Sophie aliyetokea kwenye video yake baada ya Sophie kufanya mahojiano mbalimbali anayoonekana kumzungumzia vibaya @kajalafrida mpaka kuhusishwa kutoka kimapenzi na @harmonize_tz. Kupitia Instastory yake Harmonize ameandika "Sikujui acha kumzungumzia kaka yako aliyetaka kukusaidia tu kutimiza ndoto zako. Hujawahi hata kuniona baada ya kumaliza kufanya video"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live